Pages

Tuesday, January 5, 2016

Download Video&Audio | Mwana FA "Asanteni kwa Kuja"



Kwa miaka 13 Mwana FA amekuwa ndani ya GAME ya Hip Hop na amekuwa hawaangushi mashabiki wake kwa kila ngoma anayotoa. Katika kufunga mwaka 2015 Mwana FA ameachia kitu kipya kutoka South Africa chini ya kampuni ya SSP. Ngoma inakwenda kwa jina la Asanteni kwa Kuja (Thanks For Comming).
A line from the song:
"ilikuwa poa tuu,
ilikuwa love tuu,
ilkuwa poa kabla pesa haijaleta makuu....."


Kama kawaida hapa Bongo Video tunakuwezesha kupata Video hii pamoja na Audio moja kwa moja kwa kubofya Download hapo chini.

Kupata Video (.mp4) click >>>DOWNLOAD video<<<

Kupata Audio (.mp3) click >>>DOWNLOAD audio<<<

Brought to you by Nellynho

Monday, January 4, 2016

Diamond - Utanipenda? (With English Lyrics) | Download full official HD Video & Audio


Baada ya kupoa kwa muda kidogo, leo hapa Bongo Video tunakuletea video mpya ya Diamond "The Plutnumz". Video hii inatoka kwa jina la Utanipenda? (Will you love me?). Tofauti na kazi zake zilizopita, wimbo huu umekuwa ukiyagusa maisha halisi ya Star huyu wa Bongo ambaye kila kukicha amekuwa akiendelea kukubalika kila kona ya Tanzania na Afrika.

Kama kawaida hapa Bongo Video tunakuwezesha kupata video hii moja kwa moja kwa kubofya Download hapo chini. Video ina lyrics za Kiingereza (for International Diamond Fans).

To get the Video (.mp4) click >>>DOWNLOAD video<<<

To get the Audio (.mp3) click >>>DOWNLOAD audio<<<

Brought to you by Nellynho

Wednesday, July 2, 2014

Download | Kala Jeremiah - Simu Ya Mwisho ft Ney Wa Mitego & Mo Music| New Video

  Nellynho pic Gallery Kwanza wimbo huu wa Kala Jeremia una story matata na ya kueleweka. Baadhi ya watu walioiona wanasema story ya huu wimbo inaweza kuwa muvi itakayokubalika na watu sana. Ndani ya hii ngoma yupo mkali Ney Wa Mitego aliyeshirikishwa, pia yupo mkali Mo Music.  Video imepikwa na wakali D360 na imedondoka mtaani wiki hii.
nellynho pic gallary
Kama kawaida hapa   Bongo Video ndipo unaweza kudownload video yoyote mpya kwa urahisi bila mbwembwe. Kuipata video hii bofya kitufe cha DOWNLOAD  hapo chini.

DOWNLOAD
Nellynho Pic Gallery

Saturday, June 28, 2014

(Mpya) Shetta ft Diamond -Kerewa (Video download)

Video ya wimbo wa Shetta na Diamond inayokwenda kwa jina la Kerewa imedondoka mtaani siku ya jana. Kwa mujibu wa Shetta video hiyo imegharimu kiasi cha milioni 25 za Kitanzania. Ameyasema hayo jana akiwa katika television ya EATV. Hapa unaweza kupata video hiyo kwa ajili yako.

>>>>>DOWNLOAD VIDEO<<<<<

Wednesday, November 20, 2013

APPLAUSE VIDEO DOWNLOAD | Download Lady Gaga Applause Video mp4 (HQ)



Huu wimbo wa Gaga a.k.a mother Monster uko poa sana na leo nimeona ndugu niwaletee ili iwezekana kwenu kuudownload. Video inakwenda kwa jina la Applause na ni moja kati ya ngoma zilizoko kwenye Album yake Lady Gaga atakayoiachia mitaani siku za karibuni. Soon nitakuja na maelezo zaidi khusu hiyo album mpya na kuwaletea Videos nyingine Zilizoko kwenye hiyo album.

Ila kwa sasa unaweza kudownload au kuangalia video hiyo kwa ku-bofya hapa>>>>>>

Applause By Gaga Mp HQ

Diamond Akifa kesho Atakumbukwa?. Hebu sikia Hii ngoma yake KUHUSU DEATH.




Hili ni Jeneza linalosemekana Ndilo Kijana Diaond Alitaka kutimba
 nalo
ndani ya SHOW.
Ni jambo lisilo na ubishi kwamba wasanii wengi wa bongo huwa wanatupotea tuu baada ya kuimba wimbo ambao unahusiana na kifo chao. Hatupendi kumpoteza kijana Plutinumz lakini yeye ameamua kutoa single inaowatia huzuni wapenzi wa nyimbo zake. DAh Hivi jamaa akifa kesho,....itakuwaje...??atatokea kijana mwingine atakayekuwa juu kama yeye????...Ni swali ambalo hatuwezi kulijibu na yeye pia anafahamu hilo...ndo maana Ameamua kuimba huu wimbo. Sijua mama Nassib anawaza nini akisikia hii track......

Tukiwa tunasubiri kuona video yake Hebu sikia huu wimbo hapa>>>>>>>>
>>>>
.LIsten OR Download Kama nikifa Kesho

DOWNLOAD VIDEO | Kabinti Special by Dully Sykes (mp4 video free direct download)

Kabinti Special ni dude jipya kutoka kwa mkongwe wa bongo fleva Mister Misifa yaani Dully Sykes.
Video ina Quality ya kuridhisha na jamaa amejitahidi kuifanya iwe ya kipekee na kwa hilo Amefanikiwa hasa....
Studios 4.5....Prince Dully Sykes

Kudownload video hii bofya hapa >->->->
DOWNLOAD HQ High Quality mp4 video

I do this...call me Zawa...Arusha ndo Nyumbani...






©credits©
Contributors: Jacob Shayo

Tafuta