
KIPENDACHO ROHO - CHALII MTOO WA BIBI (Jambo Squad)
Download pini-video ya KIPENDACHO ROHO
Tumekuletea kitu kipya cha CHALII MTOTO WA BIBI...kijana wa Jambo Squad...Ni nyimbo kali kwa 'style' na 'quality'...Si
mara nyingi vijana wa Jambo Squad huwa wanadondosha nyimbo za mapenzi....lakini hii LAZIMA IKUSHIKE...
Kwa taarifa zilizoko
kitaa ni kwamba "Chalii,, allikuwa anapiga buku, hiyo ndo sababu ya yeye...