 |
Hili ni Jeneza linalosemekana Ndilo Kijana Diaond Alitaka kutimba nalo ndani ya SHOW. |
Ni jambo lisilo na ubishi kwamba wasanii wengi wa bongo huwa wanatupotea tuu baada ya kuimba wimbo ambao unahusiana na kifo chao. Hatupendi kumpoteza kijana Plutinumz lakini yeye ameamua kutoa single inaowatia huzuni wapenzi wa nyimbo zake. DAh Hivi jamaa akifa kesho,....itakuwaje...??atatokea kijana mwingine atakayekuwa juu kama yeye????...Ni swali ambalo hatuwezi kulijibu na yeye pia anafahamu hilo...ndo maana Ameamua kuimba huu wimbo. Sijua mama Nassib anawaza nini akisikia hii track......
Tukiwa tunasubiri kuona video yake Hebu sikia huu wimbo hapa>>>>>>>>
>>>>
.
LIsten OR Download Kama nikifa Kesho
0 comments:
Post a Comment