Kwanza wimbo huu wa Kala Jeremia una story matata na ya kueleweka. Baadhi ya watu walioiona wanasema story ya huu wimbo inaweza kuwa muvi itakayokubalika na watu sana. Ndani ya hii ngoma yupo mkali Ney Wa Mitego aliyeshirikishwa, pia yupo mkali Mo Music. Video imepikwa na wakali D360 na imedondoka mtaani wiki hii.
Kama kawaida hapa ndipo unaweza kudownload video yoyote mpya kwa urahisi bila mbwembwe. Kuipata video hii
bofya kitufe cha DOWNLOAD hapo chini.
0 comments:
Post a Comment