Download pini-video ya KIPENDACHO ROHO

Tumekuletea kitu kipya cha CHALII MTOTO WA BIBI...kijana wa Jambo Squad...Ni nyimbo kali kwa 'style' na 'quality'...Si
mara nyingi vijana wa Jambo Squad huwa wanadondosha nyimbo za mapenzi....lakini hii LAZIMA IKUSHIKE...
Kwa taarifa zilizoko
kitaa ni kwamba "Chalii,, allikuwa anapiga buku, hiyo ndo sababu ya yeye kutosikika kwa muda....
Video ya wimbo unaweza kuipata hapa >>>>>
DOWNLOAD video
mp4 HQ
High Quality
Ukitaka audio pekee (mp3) usiwaze sana bofya hapa >>>>>>>
DOWNLOAD mp3
0 comments:
Post a Comment