
Kwanza wimbo huu wa
Kala Jeremia una story matata na ya kueleweka. Baadhi ya watu walioiona wanasema story ya huu wimbo inaweza kuwa muvi itakayokubalika na watu sana. Ndani ya hii ngoma yupo mkali
Ney Wa Mitego aliyeshirikishwa, pia yupo mkali
Mo Music. Video imepikwa na wakali
D360 na imedondoka mtaani wiki hii.
Kama kawaida hapa
ndipo unaweza kudownload video yoyote mpya kwa urahisi bila mbwembwe. Kuipata video hii
bofya kitufe cha
DOWNLOAD hapo chini.