Pages

Wednesday, November 20, 2013

APPLAUSE VIDEO DOWNLOAD | Download Lady Gaga Applause Video mp4 (HQ)

Huu wimbo wa Gaga a.k.a mother Monster uko poa sana na leo nimeona ndugu niwaletee ili iwezekana kwenu kuudownload. Video inakwenda kwa jina la Applause na ni moja kati ya ngoma zilizoko kwenye Album yake Lady Gaga atakayoiachia mitaani siku za karibuni. Soon nitakuja na maelezo zaidi khusu hiyo album mpya na kuwaletea Videos nyingine Zilizoko kwenye hiyo album. Ila kwa sasa unaweza kudownload au kuangalia video hiyo kwa ku-bofya hapa>>>>>> Applause...

Diamond Akifa kesho Atakumbukwa?. Hebu sikia Hii ngoma yake KUHUSU DEATH.

Hili ni Jeneza linalosemekana Ndilo Kijana Diaond Alitaka kutimba nalondani ya SHOW. Ni jambo lisilo na ubishi kwamba wasanii wengi wa bongo huwa wanatupotea tuu baada ya kuimba wimbo ambao unahusiana na kifo chao. Hatupendi kumpoteza kijana Plutinumz lakini yeye ameamua kutoa single inaowatia huzuni wapenzi wa nyimbo zake. DAh Hivi jamaa akifa kesho,....itakuwaje...??atatokea kijana mwingine atakayekuwa juu kama yeye????...Ni swali...

DOWNLOAD VIDEO | Kabinti Special by Dully Sykes (mp4 video free direct download)

Kabinti Special ni dude jipya kutoka kwa mkongwe wa bongo fleva Mister Misifa yaani Dully Sykes. Video ina Quality ya kuridhisha na jamaa amejitahidi kuifanya iwe ya kipekee na kwa hilo Amefanikiwa hasa.... Studios 4.5....Prince Dully Sykes Kudownload video hii bofya hapa >->->-> DOWNLOAD HQ High Quality mp4 video I do this...call me Zawa...Arusha ndo Nyumbani... ...

Tafuta